🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 16-04-2019 09:00:03am Bongo5
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameahidi kulijenga upya kanisa kuu la Katoliki la Notre Dame mjini Paris ambalo liliwaka moto jana jioni na kusababisha uharibifu katika sehemu ya jengo hilo. Kanisa la Notre Dame lilijengwa karne ya 12 na limekuwa ni mojawapo ya kivutio cha utalii nchini Ufaransa. Kanisa hilo lilikuwa chini ya ukarabati ambao …The post Kanisa kongwe la Notre -Dame lateketea kwa moto mjini Paris, Rais wa Ufaransa aahidi kulijenga upya appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E