🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Sunday 22-07-2018 09:00:02pm Swahili Times
Kampuni ya OreCorp toka nchini Australia imeilipa kampuni ya Acacia kiasi cha dola za Kimarekani milioni tatu (sawa na shillings bilioni 6.7 za Kitanzania) ili kuongeza umiliki wake wa mgodi wa dhahabu wa Nyanzaga mkoani Shinyanga kutoka asilimia 25 (ilizinunua kwa dola milioni 14 sawa na shillings bilioni 30) hadi asilimia 51. Makubaliano ya manunuzi hayo yanasubiri kuidhinishwa na serikali ya Tanzania kupitia tume ya ushindani (Fair Competition Commission). Mauziano hayo huenda yakawa sehemu ya kwanza kwa serikali kupata gawio la faida la asilimia zisizopungua 16 kama ilivyopitishwa katika sheria mpya ya madini. Bofya hapa kupakua taarifa zaidi kuhusu OreCorp Limited . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E