Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Kampuni 4 za ving’amuzi zilizoruhusiwa kurusha chaneli za ndani

Wednesday 29-08-2018 09:00:02am Swahili Times


Serikali imesema kuanzia Septemba 5 mwaka huu visimbuzi vya StarTimes, Ting, Digtek na Continental vitaanza kuonesha channeli zote za ndani bila kutoza gharama yoyote kwa mtazamaji kwani visimbuzi hivyo ndivyo vyenye leseni ya kurusha maudhui ya ndani. Akiwaeleza waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, kuhusu yaliyozungumzwa katika kikao kati ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe na wadau na wamiliki wa televisheni nchini, Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas alisema kuwa, serikali imefikia uamuzi huo baada ya visimbuzi vya Azam, Zuku and Dstv kutoonesha channeli za ndani, . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E