đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Wednesday 07-11-2018 09:00:02pm Swahili Times
Baada ya Diamond Platnumz kutangaza kuwa anatamani kushiriki pamoja na mwanamuziki Ali Kiba kwenye Tamasha la Muziki la Wasafi (Wasafi Festival) ambalo litaanza hivi karibuni, Alikiba amejibu na kusema anashukuru sana kwa mwaliko huo, lakini kwa sasa hata weza kutokana na kutingwa na mambo yake mengine. Akizungumza wakati akitangaza tamasha hilo, Diamond Platnumz alisema kwamba litaanza Novemba 24 mwaka huu, ambapo litaanzania mkoani Mtwara. Ikiwa ni njia ya kuendelea kukuza vipaji na biashara, alisema angependa kushirikiana na wasanii wengine ambao miongoni mwao alimtaja Alikiba ambaye huonekana kama mshindani wake mkuu. “Hili tamasha ni lakwetu sote kwa wasanii wote wa Kitanzania . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E