Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Huyu ndio Rapper mkongwe kutoka nchini Kenya, Chris Kantai aliyepoteza maisha siku ya jana jumatano

Thursday 28-02-2019 09:00:02am Bongo5


Wakenya wanamuomboleza mojawapo ya wasanii nguli katika mtindo wa kufoka au rap, Chris Kantai. Vyombo vya habari nchini vinaripoti kwamba Chris aliaga dunia Jumatano katika hspitali moja mjini Nairobi alikokuwa anapokea matibabu baada yakuugua kwa muda mfupi. Kwa mujibu wa BBC. Msanii huyo rapa Chris Kantai mwenye umri wa miaka 42 inaarifiwa alilazwa tangu Jumatatu …The post Huyu ndio Rapper mkongwe kutoka nchini Kenya, Chris Kantai aliyepoteza maisha siku ya jana jumatano appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E