Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Hizi ndio sababu za Marekani kuufunga Ubalozi wake mdogo mjini Jerusalem

Tuesday 05-03-2019 09:00:03am Bongo5


Hatua ya Marekani ya kuufunga ubalozi wake mdogo mjini Jerusalem ni hatua ya kuuteremsha hadhi uwakilishi wake wa kibalozi kwa Wapalestina. Uamuzi huo umetangazwa Jumatatu na wizara ya mambo ya nje ya nchi hiyo. Kwa miongo kadhaa ubalozi huo mdogo katika mji wa Jerusalem ulitambulika kama ubalozi wa Marekani katika mamlaka ya Palestina. Nakuanzia sasa jukumu la ubalozi huo uliofungwa litatimizwa na kitengo cha masuala ya Wapalestina chini ya mamlaka ya ubalozi mkuu. Kwa mujibu …The post Hizi ndio sababu za Marekani kuufunga Ubalozi wake mdogo mjini Jerusalem appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E