🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 19-11-2018 09:00:03pm Bongo5
Kwa wapenzi wa burudani nchini Tanzania, Jumamosi hii ya Novemba 24, 2018 kutakuwa na matamasha makubwa matatu ya burudani yatakayofanyika mikoa mitatu tofauti. Tamasha kubwa la kwanza ni lile la fainali ya tamasha la Tigo Fiesta ambalo litafanyika Dar Es Salaam, Fiesta ndio tamasha kubwa la burudani kwa muda wote hapa nchini Tanzania. Fainali hiyo, …The post Hivi ndivyo Tigo Fiesta, Wasafi Festival na Alikiba watakavyoitikisa Tanzania Novemba 24 appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E