🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Thursday 15-11-2018 09:00:02am Bongo5
Waziri wa ulinzi wa Israel Avigdor Lieberman amejiuzulu kwa ghafla akilalamika dhidi ya makubaliano ya kuweka chini silaha yaliyofikiwa pamoja na wanamgambo wa Hamas. Uamuzi wa kujiuzulu Avigdor Liebermann unaidhoofisha sana serikali ya mseto ya waziri mkuu Benjamin Netanyahu na huenda ukapelekea uchaguzi kuitishwa kabla ya wakati. Liebermann anasema makubaliano ya kuweka chini silaha yaliyofikiwa …The post Hii ndio sababu kubwa iliyopelekea waziri wa ulinzi wa Israel Avigdor Lieberman kujiuzulu appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E