🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Wednesday 20-02-2019 09:00:03pm Bongo5
Mchezaji wa kikapu maarufu kama Basketball nchini Tanzania, Hasheem Thabeet amegonga vichwa vya habari barani Ulaya baada ya kuhusishwa kurejea kwake kwenye ligi ya mchezo huo NBA huko Marekani. Mara baada ya kumalizika kwa michezo ya ‘All-Star weekend’ Jumapili iliyopita ndipo kukaibuka taarifa za kurejea kwa mwanakikapu huyo pandikizi la mtu mwenye urefu wa futi saba (7) …The post Hasheem Thabeet atikisa vichwa vya habari barani Ulaya, kurejea NBA muda wowote appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E