Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Harmonize atuma maombi kujitoa WCB, Hatma yake yasalia mikononi mwa Diamond, Babu Tale na Sallam

Thursday 22-08-2019 09:00:03am Bongo5


Baada ya tetesi nyingi kusambaa mitandaoni kuwa msanii wa muziki Tanzania, Harmonize anataka kujitoa kwenye lebo ya muziki ya WCB, Hatimae ukweli umewekwa hadharani. Kwa mujibu wa Meneja wa Diamond Platnumz, Na moja ya viongozi wa WCB, Meneja Sallam amesema kuwa Harmonize ametuma maombi ya kuvunja mkataba na WCB. Sallam akiongelea zaidi sakata hilo, Amesema …The post Harmonize atuma maombi kujitoa WCB, Hatma yake yasalia mikononi mwa Diamond, Babu Tale na Sallam appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E