Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Harmonize atudokeza ujio wa kolabo yake na Burnay Boy (+ Video)

Friday 11-01-2019 09:00:03am Bongo5


Msanii wa muziki wa Bongo Fleva kutoka katika lebo ya muziki ya WCB iliyochini ya Diamond Platnumz, Harmonize alimaarufu Konde Boy, ametujuza ujio wa kolabo yake na msanii kutoka Nigeria. Msanii huyo akiwa nchini Nigeria kwa sasa ameonekana akiwa na Burnay Boy katika maeneo tofauti tofauti lakini pia akipost moja ya picha aliyopiga na Burna …The post Harmonize atudokeza ujio wa kolabo yake na Burnay Boy (+ Video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E