🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 29-04-2019 09:00:04am Bongo5
Msemaji wa Umoja wa mataifa amesema kuwa hali ya Kaskazini mwa Msumbiji ni mbaya kuliko ilivyodhaniwa, hii ni baada ya siku chache kimbunga Kenneth kutuwa nchini humo. Kimbunga hicho kilituwa siku ya Alhamisi kwa upepo mkali wenye kasi ya 220km/h (140mph) kilichoviangamiza vijiji. Takriban watu 700,000 sasa wanadhaniwa kuwa katika hatari katika eneo hilo …The post Hali ni mbaya kuliko ilivyodhaniwa Msumbiji, Umoja wa Mataifa waeleza appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E