🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Friday 05-10-2018 09:00:02pm Bongo5
Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amesema atawalipia ada watoto wote walemavu kutoka shule za Tandale ambao wataanza masomo yao mwaka 2019. Amesema hayo Ijumaa hii kwenye sherehe ya birthday ya Diamond ambayo ilienda sambamba na kutoa misaada mbalimbali kwa wakazi wa Tandale sehemu aliyozaliwa Diamond Platnumz.The post Haji Manara afanya kufuru Tandale kwa Diamond ‘walemavu wote niwalipia ada’ (Video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E