🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 13-08-2018 09:00:02am Bongo5
Nyota wazamani wa timu ya taifa ya Brazil, Ronaldo amelazwa hospitali ya Ibiza kufuatia kusumbuliwa na ugonjwa wa pneumonia. Ronaldo mwenye umri wa miaka 41 ameripoti kupitia mtandao wake wa twitter kuwa amefikishwa hospitalini hapo siku ya Ijumaa na kutarajia kupata ruksa leo siku ya Jumatatu. Ronaldo amefunga jumla ya mabao 62 akiwa na timu …The post Gwiji wa soka wa Brazil, Ronaldo alazwa hospitali appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E