Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Gari za abiria zapigwa marufuku kusafirisha vifurushi na barua

Tuesday 05-03-2019 09:00:03pm Bongo5


Niabu waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Mh Mhandisi Atashista Nditiye amepiga marufuku magari yote ya abiria kusafirisha vifurushi vya aina yoyote zikiwemo barua bila kuwa na leseni ya mamlaka ya mawasiliano nchini, huku akiitaka mamlaka ya udhibiti wa usafiri wa majini nan chi kavu SUMATRA kuendesha oparationi kali kudhibiti vitendo hivyo. Naibu Waziri Nditiye …The post Gari za abiria zapigwa marufuku kusafirisha vifurushi na barua appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E