Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Fulham yaungana na Huddersfield kushuka daraja Premier League, kichapo cha Watford chawaponza

Wednesday 03-04-2019 09:00:05am Bongo5


Fulham imekuwa timu ya pili kushuka daraja katika Premier League msimu wa mwaka 2018/19 baada ya kuchapwa na Watford kwa jumla ya mabao 4 -1. Timu hiyo bado ina michezo mitano mkonononi, lakini kwa alama zake 17 mkononi haiwezi tena kumaliza katika nafasi salama. Fulham sasa inaungana na Huddersfield wenye alama 14 ambao walikuwa wa …The post Fulham yaungana na Huddersfield kushuka daraja Premier League, kichapo cha Watford chawaponza appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E