🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Saturday 20-07-2019 09:00:03am Bongo5
Mwanamume wa miaka 60 nchini Ufaransa anasema kuwa alishangaa kuona picha ya mguu wake uliokatwa imetumiwa kwenye paketi za sigara, ikionya watu kuhusu madhara ya uvutaji sigara bila idhini yake. Picha hiyo imechapishwa kwenye pakiti hizo ikiandamana na ujumbe unaosema “uvutaji sigara unaziba mishipa ya damu”. Lakini mtu huyo raia wa Albania, ambaye anaishi katika …The post Fahamu kisa hiki cha mwanaume aliyeuona mguu wake uliokatwa kwenye pakiti la Sigara appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E