🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Wednesday 27-02-2019 09:00:03pm Bongo5
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Dudu Baya amemjibu Waziri Mwakyembe aliyetaka Jeshi la Polisi limkamate kwa kosa la kumdhihaki marehemu Ruge Mutahaba. Dudu Baya kupitia video aliyoiweka kwenye ukurasa wake wa Instagram, amemtaka Waziri Mwakyembe kutosumbua Askari, bali wamwambie ni kituo gani anatakiwa akaripoti na yeye yupo tayari. Mapema asubuhi ya leo Februari 26, …The post Dudu Baya amjibu Waziri Mwakyembe kuhusu kukamatwa ‘nakuja mwenyewe, hii ni kazi ya Mungu’ (+video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E