Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

DStv waja na promosheni ya ‘Tia kitu, Pata vituz’, watumiaji kupata vifurushi bure kwa miezi miwili

Thursday 21-02-2019 09:00:02pm Bongo5


Jumanne Februari 19, 2019. Kampuni ya MultiChoice Tanzania kupitia huduma zake za DStv imetangaza promosheni maalum ijulikanayo kama “Tia kitu, Pata vituz”  ambapo mteja hai wa DStv atatakiwa kufanya malipo ya mwezi ya kifurushi anachotumia na kisha kupata fursa ya kuingia katika droo itakayomuwezesha kushinda kifurushi hicho hicho kwa muda wa miezi miwili zaidi bila …The post DStv waja na promosheni ya ‘Tia kitu, Pata vituz’, watumiaji kupata vifurushi bure kwa miezi miwili appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E