Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Djokovic ajiwekea historia mpya, sasa alingana na Pete Sampras kwa mataji

Monday 10-09-2018 09:00:03pm Bongo5


Msimu wa majira ya joto umekuwa mzuri mno kwa mchezaji tennis, Novak Djokovic baada ya kukamilisha safari yake ya kutwaa taji la pili kubwa Grand Slam usiku wa kuamkia leo Jumatatu katika dimba la Arthur Ashe. Mserbia huyo mwenye umri wa miaka 31, amefanikiwa kumshinda, Juan Martin Del Potro kwenye michuano ya US Open kwa jumla ya seti 6-3, …The post Djokovic ajiwekea historia mpya, sasa alingana na Pete Sampras kwa mataji appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E