🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 19-11-2018 09:00:03pm Bongo5
Mtangazaji wa Ala za Roho ya Clouds FM, Diva amekanusha vikali taarifa ambazo zilikuwa zinasambaa mitandaoni kwamba anatoka kimapenzi na mtangazaji wenzake, Mo Jay ambaye kwa sasa ni mpenzi wa muimbaji Gigy Gigy. Mwanaume huyo amefanikiwa kuzaa mtoto mmoja na muimbaji Gigy Money. Diva amedai hapendi kuzushiwa taarifa ambazo hazina ukweli juu yake huku akidai …The post Diva akanusha kuchepuka na Mo Jay wa Gigy Money appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E