🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Thursday 18-04-2019 09:00:04pm Bongo5
Mbunge wa Jimbo la Sengerema, Mhe. Wiliam Ngeleja amewapigia upatu wasanii wa Bongo Fleva, Alikiba, Diamond Platnumz na Rayvanny kwa kuiomba serikali iwatumie katika kutangaza utalii kwa manufaa ya taifa. Mhe. Ngeleja ametoa hoja hiyo leo Aprili 18, 2019 wakati akichangia hoja katika hotuba ya Waziri wa Habari, Mhe. Harrison Mwakyembe .The post Diamond Platnumz, Rayvanny na Alikiba wapigiwa upatu Bungeni watangaze utalii (+video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E