Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Diamond atoa orodha ya nyimbo atakazoziperformu Wasafi Festival Mtwara, wimbo wa Mwanza ukiwemo

Wednesday 21-11-2018 09:00:02am Bongo5


Msanii wa muziki wa kizazi kipya na C.E.O wa lebo ya muziki ya WCB Diamond Platnumz ametoa orodha ya nyimbo 32 atakazoziperformu katika tamasha la Wasafi Festival Mtwara. Msanii huyo ambayo alikuwa Dubai alipoenda kuhudhuria na kufanikiwa kufanya Show katika tamasha kubwa la One African Music Festival ambalo walipafomu wasanii wengi sana kutoka Afrika aliporejea …The post Diamond atoa orodha ya nyimbo atakazoziperformu Wasafi Festival Mtwara, wimbo wa Mwanza ukiwemo appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E