Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

DC Jerry Muro aanza kazi kwa kasi, akamata Malori 10 kutoka Kenya ‘hii ndio kazi niliyotumwa’ (+video)

Tuesday 14-08-2018 09:00:02am Bongo5


Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Jerry Muro amefanya zoezi la ukaguzi wa malori 10 yaliyokuwa yakitokea Nchi jirani ya Kenya. Mara baada ya kuyatilia mashaka Malori hayo kutoka Mombasa kupitia njia ya Namanga tukio ambalo limeonekana sio la kawaida Kwa magari hayo kupitia njia ndefu ya Namanga kutoka Mombasa kwenda Dar es salaam. DC …The post DC Jerry Muro aanza kazi kwa kasi, akamata Malori 10 kutoka Kenya ‘hii ndio kazi niliyotumwa’ (+video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E