🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Thursday 10-01-2019 09:00:03am Bongo5
Msanii mkongwe wa Hip Hop katika tasnia ya Bongo Fleva Daz Baba alimaarufu Daz Mwalimu afunguka mengi kuhusu muziki wa Bongo Fleva. Mbali na kuongelea muziki wake lakini pia amewacharukia wasanii wanaoharibu muziki kwa kuimba kwa kufanana na kudai kwamba ni kitu kinachoharibu muziki, Daz Baba amefunguka hayo wakati anapiga stori na Bongo5. Msikilize Daz …The post Daz Baba awacharukia wasanii wanao-copy na kuimba kwa kufanana (+ Video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E