Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

DAR: Abiria afariki dunia ndani ya Basi Ubungo, Yaelezwa alikuwa ni msafiri wa Tabora

Monday 24-06-2019 09:00:03am Bongo5


Abiria mmoja aliyetambulika kwa majina ya Mwanaidi Said (83), aliyekuwa anasafiri kutoka Dar Es Salaaam kwenda mkoani Tabora, amefariki dunia jana alfajiri katika kituo cha mabasi cha Ubungo akiwa ndani ya  basi kabla ya kuanza kwa safari. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi, Kinondoni, Mussa Taibu amesema kuwa abiria huyo …The post DAR: Abiria afariki dunia ndani ya Basi Ubungo, Yaelezwa alikuwa ni msafiri wa Tabora appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E