🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Saturday 18-05-2019 09:00:02am Bongo5
Mahakama nchini Kenya imemuamuru rais wa zamani wa Kenya kulipa fidia ya dola milioni 1.06 kwa mjane ambaye alimchukulia ardhi yake kinyume cha sheria. Bwana Moi alinyakua ardhi ya heka 53 iliyokuwa mali ya mjane Susan Cheburet Chelugui, alisema Jaji. Bwana moi alinyakua ardhi hiyo kinyume cha sheria miaka 36 iliyopita, lakini ilisajiliwa kwa jina …The post Daniel arap Moi apigwa faini na mahakama Kenya, kwa kosa la kuchukua ardhi ya mjane appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E