đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Thursday 04-10-2018 09:00:02am Swahili Times
Kumpata mtu sahihi wa kuwa nae kwenye uhusiano wa kimpenzi kwa watu wengi ni changamoto kubwa ambayo huhusisha kujaribu na kushindwa. Hii ina maana kuwa, njia bora ya kuweza kujua kama mtu ni sahihi kwako, ni hadi pale utakapokuwa naye kwenye uhusiano. Njia inaweza ikaonekana sio sahihi lakini ni njia ambayo itakupa majibu ya uhakika zaidi. Ukigombana na mwenza wake mnapokuwa katika uhusiano wa kimapenzi, haimaanishi kwamba si mtu sahihi kwako, kwa sababu hakuna watu waliopo kwenye uhusiano ambao hawakwaruzani. Lakini kikubwa unahitaji jicho la tatu la kuuchunguza ugomvi huo ili kuweza kuelewa zaidi. Unapokuwa kwenye uhusiano na mtu, na . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E