🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Friday 12-04-2019 09:00:02am Bongo5
Beki wa Manchester United Chris Smalling amefunguka mengi baada ya mchezo wao wa klabu bingwa barani Ulaya UEFA ambapo lilitokea tukio la kumuumiza winga wa klabu ya FC Barcelona na raia wa Argentina Lionel Messi katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Old Trafford ambapo United walipoteza kwa kufungwa goli 1-0 nyumbani. Baada ya tukio hilo …The post Chris Smalling atoa neno baada ya kumuumiza Messi “Anajua ilikuwa ni ajali kazini” appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E