🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Sunday 12-08-2018 09:00:02am Bongo5
Klabu ya Chelsea imefungua Ligi Kuu England (EPL) kwa kishindo baada ya kuichapa goli 3-0 klabu ya Huddersfield Town ugenini. Ushindi ambao umewafanya Chelsea waweke rekodi usiku wa jana. Kwa ushindi huo, Chelsea inakuwa klabu ya tatu katika historia ya EPL kufikisha alama (points) 800 kwenye michezo ya ugenini pekee. Rekodi hiyo ya klabu zilizovuna alama …The post Chelsea yaweka rekodi nyingine kubwa EPL baada ya ushindi wa goli 3-0 dhidi ya Huddersfield Town appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E