Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Chanzo cha moto uliounguza kanisa kuu la Notre Dame mjini Paris chaelezwa

Wednesday 17-04-2019 09:00:03am Bongo5


Waendesha mashtaka nchini Ufaransa wamesema leo moto ulioteketeza kanisa kuu mjini Paris la Notre Dame ulikuwa ajali ya kawaida. Wakati Ufaransa inahuzunika kufuatia kuharibiwa kwa moja ya alama zake muhimu. Mkuu wa Idara ya Mashtaka mjini Paris Remy Heitz amesema hakuna ishara yoyote kuwa tukio hilo la moto uliozuka jana jioni katika kanisa la Notre …The post Chanzo cha moto uliounguza kanisa kuu la Notre Dame mjini Paris chaelezwa appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E