🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Sunday 30-06-2019 09:00:02pm Bongo5
Baada ya aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu kuvuliwa ubunge, CHADEMA wamedai kuwa hatua hiyo inalenga kumzuia kuwania Urais au ubunge kwenye Uchaguzi Mkuu kwa mwaka 2020. Hayo yamesemwa leo Juni 30, 2019 na Katibu Mkuu wa Chama Cha hicho, Dkt. Vincent Mashinji wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya hatua …The post CHADEMA wafunguka Tundu Lissu kuzuiliwa kugombea ubunge au urais mwaka 2020 (+video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E