🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 17-09-2018 09:00:02pm Bongo5
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeendeleza ubabe kwenye chaguzi ndogo za majimbo ya Monduli na Ukonga kwa kufanikiwa kuyatwaa majimbo hayo. Jimbo la Ukonga, mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya CCM, Mwita Waitara ameshinda kwa kura 77,795 sawa na asilimia 89.1 huku akifuatiwa Asia Msangi wa CHADEMA kura 8,676 sawa na asimia 9. Hii kwa mujibu …The post CCM yaendeleza ubabe Monduli na Ukonga kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E