Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

BREAKING: Waziri Mkuu wa Uingereza, Bi. Theresa May atangaza kujiuzulu, Mpango wa ‘Brexit’ wamtokea puani

Friday 24-05-2019 09:00:02pm Bongo5


Waziri Mkuu wa Uingereza, Bi. Theresa May ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo, ifikapo Juni 7, mwaka huu. Huku chanzo kikubwa kikitajwa kuwa ni mvutano wa mkataba wa Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya (Brexit).   May amehudumu nafasi hiyo kwa miaka mitatu, tangu achukue nafasi ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Taifa hilo, David Cameron.The post BREAKING: Waziri Mkuu wa Uingereza, Bi. Theresa May atangaza kujiuzulu, Mpango wa ‘Brexit’ wamtokea puani appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E