🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Friday 06-09-2019 09:00:03am Bongo5
Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe amefariki dunia. Mmoja wa wanafamilia ameithibitishia BBC kuwa, Robert Mugabe amefariki dunia akiwa na miaka 95. Mugabe alikuwa nchini Singapore akipokea matibabu kwa muda mrefu. Ameiongoza Zimbabwe kutoka 1980 mpaka 2017, alipong’olewa madarakani na makamo wake kwa msaada wa jeshi. Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa tayari amethibitisha kupitia …The post Breaking: Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe afariki dunia appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E