Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

BREAKING: Mwinyi Zahera amvua unahodha, Kelvin Yondani ‘Siwezi kumuacha mtu kama yule’

Friday 04-01-2019 09:00:02pm Bongo5


Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, ameamua kumvua kitambaa cha unahodha beki wa timu hiyo, Kelvin Yondani ‘Vidic’ baada ya kutohudhuria mazoezini pasipo kutoa taarifa. Zahera raia wa Congo amemkabidhi kitambaa hicho nyota wake Ibrahim Ajibu kufuatia kitendo cha utovu wa nidhamu kilichofanywa na Yondani. Beki huyo mwenye historia kubwa na Yanga kutokana na kudumu …The post BREAKING: Mwinyi Zahera amvua unahodha, Kelvin Yondani ‘Siwezi kumuacha mtu kama yule’ appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E