Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Bondia aliyemdunda Muingereza: Niliondoka Tz kama mfungwa baada ya kunyimwa vibali

Friday 14-09-2018 09:00:02pm Bongo5


Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo ambaye wiki iliyopita aliitangaza vizuri bendera ya Tanzania kwa kumtwanga bondia wa Uingereza, Sam Eggington kwa T OK ndani ya dakika ya pili, amefunguka kuzizungumzia changamoto ambazo alizipata mapaka akafika Uingereza. Hassan amedai aliondoka Tanzania bila support kutoka kwa Watanzania kwani hata kibali cha kwenda huko alikosa. “Katika vitu sitavisahau ni …The post Bondia aliyemdunda Muingereza: Niliondoka Tz kama mfungwa baada ya kunyimwa vibali appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E