🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Wednesday 06-02-2019 09:00:03am Bongo5
Serikali mkoani Shinyanga imepiga marufuku waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda kubeba wanafunzi wa kike wa shule za msingi na sekondari. Marufuku hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainabu Tellack, ndiye aliyetoa tangazo hilo jana Februari 5, 2019 kwenye maadhimisho ya miaka 42 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) yaliyoandaliwa na Jumuiya ya Wanawake (UWT) …The post Bodaboda wapigwa marufuku kubeba wanafunzi wa kike appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E