🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Wednesday 01-05-2019 09:00:03am Bongo5
Takwimu zinaonyesha kwamba idadi kubwa ya wajasiriamali nchini Tanzania ni wanawake. Bongo5 wiki katika Kona ya Mjasiriamali Kijana imekutana na binti mwenye miaka 22 ambaye anajighulisha na biashara ya kuuza viatu vya mtumba. Binti huyo ambaye anatumia brand ya Mamu Knows alianza biashara hiyo kwa mtaji wa tsh 40000 na mpaka sasa tayari ana mataji …The post Binti mdogo muuza viatu vya mtumba aliyekuza mtaji kutoka tsh 40000 hadi tsh milioni 5 (Video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E