Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Beyonce aachia wimbo mpya wenye mashairi ya Kiswahili ‘Uishi kwa muda mrefu’ (+video)  

Thursday 11-07-2019 09:00:01am Bongo5


Mwimbaji maarufu nchini Marekani Beyonce ameachia kibao kipya hii leo, na maneno ya kwanza kabisa ni ya Kiswahili “Uishi kwa muda mrefu mfalme,” sauti nyembamba inaimba kisha sauti nzito inaitika “uishi kwa”, kionjo hiko kinajirudia mara mbili na kisha wimbo kuendelea kwa Kingereza. Kibao hicho kiitwacho Spirit ni sehemu ya albamu inayosindikiza filamu mpya ya Lion King …The post Beyonce aachia wimbo mpya wenye mashairi ya Kiswahili ‘Uishi kwa muda mrefu’ (+video)   appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E