🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Sunday 23-12-2018 09:00:02am Swahili Times
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (sasa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki), Bernard Membe, amefungua shauri katika Mahakama Kuu ya Tanzania dhidi ya Cyprian Musiba akitaka kulipwa mabilioni ya fedha kwa kumchafua. Katika kesi ya msingi washtakiwa ni Cyprian Musiba, Mhariri wa Gazeti la Tanzanite, na Wachapishaji wa gazeti hilo. Taarifa ambazo hazijathibitishwa na mlalamika zinadaia kuwa Membe anayewakilishwa na Kampuni ya Millennium Law Chambers ya Dar es Salaam anataka kulipwa fidia ya shilingi bilioni 10 kutokana na kuchafuliwa na watuhumiwa hao. Katika kesi hiyo Musiba anashitakiwa kwa kutoa matusi dhidi ya Membe na kumtuhumu kuwa anamhujumu Rais Dkt Magufuli, . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E