🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Tuesday 02-10-2018 09:00:02pm Swahili Times
Benki ya Dunia (WB) imezuia msaada wa zaidi ya TZS bilioni 114 kwa Tanzania, ikipinga kupitishwa kwa Sheria ya Takwimu ya mwaka 2015 ambayo inakandamiza uhuru wa kujieleza kwa wananchi. Kufuatia kupitishwa kwa mabadiliko ya sheria hiyo Septemba 10 mwaka huu, Benki ya Dunia imeeleza kusikitishwa kwake, na ipo katika meza ya mazungumzo na serikali ya Tanzania kuhusiana na sheria hiyo. Sheria hiyo inayokanadamiza uhuru wa kujieleza imetamka kuwa, ni kosa kwa mtu kuchapisha au kupelekea kuchapishwa kwa takwimu ambazo zitapingana na zile zilizotolewa na serikali. Adhabu ya kosa hilo inaweza kuwa, faini isiyopungua TZS milioni 10, kifungo kisichopingua miaka 3 . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E