Bongo Trends

đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Bei elekezi za mafuta kuanzia 1 Agosti 2018

Tuesday 31-07-2018 09:00:02pm Swahili Times


Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za mafuta zitakazoanza kutumika kuanzia kesho Agosti Mosi 2018. Bei ya rejareja ya petroli na dizeli imeshuka ambapo petroli imeshuka kwa TZS 25 kwa lita, dizeli TZS 28 kwa lita huku mafuta ya taa yakipanda kwa TZS 78 kwa lita. Hapa chini ni bei elekezi zilizotolewa na EWURA kwa mwezi Agosti. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E