🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Wednesday 09-01-2019 09:00:03pm Bongo5
Klabu ya Bayern Munich imefikia makubaliano ya kumsaini beki wa Kimataifa wa Ufaransa, Benjamin Pavard kwa mkataba wa miaka mitano utakao anza msimu ujao hii ni kwa mujibu wa Mkurugenzi wa michezo wa timu hiyo, Hasan Salihamidzic. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 atajiunga na miamba hiyo ya soka ya Bundesliga akitokea VfB Stuttgart …The post Bayern Munich yanasa saini ya Benjamin Pavard aliyetisha kombe la Dunia appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E