Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

BASATA wafunguka ‘Roma na Stamina ni watu waajabu’ (Video)

Tuesday 07-08-2018 09:00:02pm Bongo5


Bazara la Sanaa Taifa (BASATA) limefunguka kukanusha taarifa ambazo zimeenezwa na Roma na Stamina kwamba waliitwa na kuhojiwa na baraza hilo kwaajili ya wimbo wao mpya uitwao Parapanda. Katibu Mkuu wa Basata Godfrey Mngereza amedai wasani hao waliitwa na baraza hilo kwaajili ya kuelekezwa mambo kadhaa kuhusu kazi zao kwa kuwa wao ndio walezi wa …The post BASATA wafunguka ‘Roma na Stamina ni watu waajabu’ (Video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E