🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 13-08-2018 09:00:02pm Bongo5
Nyota wa klabu ya Manchester City, Raheem Sterling amesherehekea bao lake la kwanza msimu huu dhidi ya Arsenal kwakuongeza tattoo nyingine kwenye mwili wake. Sterling amefunga bao hilo lamapema dakika ya 14 wakati akiikabili Arsenal hapo jana siku ya Jumapili kwenye mchezo wao wa wakwanza wa ligi kuu England. Kupitia mtandao wake wa Instagram Sterling ameposti picha inayomuonyesha …The post Bao lake dhidi ya Arsenal lamfanya Raheem Sterling kuongeza tattoo nyingine mwilini appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E