🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Sunday 08-09-2019 10:00:06am Bongo5
Msanii mkongwe wa muziki wa dansi nchini Tanzania, Nguza Viking maarufu ‘Babu Seya’ amefunga ndoa takatifu jana Septemba 7, 2019 na aliyekuwa mchumba wake, Ambaye ni Katibu Tawala Wilaya ya Muheza (DAS), Esterine Haule. Babu Seya na mke wake halali wamefunga ndoa hiyo katika Kanisa Katoliki la Sinza Jijini Dar Es Salaam.The post Babu Seya afunga ndoa kimya kimya na kiongozi serikalini (+picha) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E