Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Baba mzazi wa Mbunge Profesa Jay afariki dunia akiwahishwa Muhimbili

Friday 07-09-2018 09:00:02pm Swahili Times


Baba Mzazi wa Mbunge wa Mikumi Joseph Haule maarufu kwa jina lake la sanaa la Professor Jay amefariki dunia akiwa katika Hospital St. Kizito Mikumi wakati wakijiandaa kumsafirisha kwenda Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa ajili ya matibabu zaidi. Mbunge Prof. Jay amethibitisha kifo cha Baba yake na kwamba alikuwa njiani kuelekea nyumbani mkoani Morogoro baada ya kupata taarifa za msiba huo. Amesema kuwa baba yake alikuwa anasumbuliwa na presha na kwamba mara nyingi amekuwa akipatiwa matibabu Muhimbili na kurejea nyumbani mikumi na dawa. Ameeleza kuwa, jana afya ya baba yake ilikuwa vizuri lakini leo alipooamka hakuwa vizuri hivyo wakamwahisha hospitalini hapo, na . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E