🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Thursday 22-11-2018 09:00:02pm Bongo5
Nyota wa zamani wa klabu ya Chelsea ya England, Didier Drogba ametangaza rasmi kustaafu kusakata kabumbu baada ya kudumu katika soka la ushindani kwa takriban miaka 20. Mshambuliaji huyo raia wa Ivory Coast mwenye umri wa miaka 40 ameitumikia Chelsea kwa vipindi viwili tofauti, mwaka 2014 hadi 2012 na msimu wa mwaka 2015-2015. Akiwa katika …The post Baada ya kutwaa mataji 12, hatimaye Didier Drogba atundika daluga rasmi appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E