Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Aubameyang ang’ara mbele ya Burnley, ampiku Mo Salah kwa mabao EPL

Saturday 22-12-2018 09:00:02pm Bongo5


Straika wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang amefanikiwa kufunga jumla ya magoli mawili katika ushindi wa mabao 3 – 1 dhidi ya Burnley kwenye mechi ya ligi kuu Uingereza iliyopigwa leo dimba la Emirates. Magoli hayo mawili ya Aubameyang yamemfanya kufikisha idadi ya mabao 12 na hivyo kuongoza katika msimamo wa wanao wania kiatu cha dhahabu msimu …The post Aubameyang ang’ara mbele ya Burnley, ampiku Mo Salah kwa mabao EPL appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E